Текст песни Diamond Platnumz — Baikoko

image_pdfimage_print

Ayo Laizer…
Kako fine kila nikikaeka kwenye Line bilabila
Shuwaini,kwake nimelewa kama wine tilalila.
Ye sisimizi nami Gegedu tuna Gegeduana.
Nilivyo sina jinsi Tajiri wa Mbegu namuhonga na Mwana
Baba Mndenge Mama Mzaramo uno lake la kurithi
Kafunga tenge mwari chakalamu shetani mwana ibilisi
Jipuu, uchungu mwana nyuma umejaza kishundundu
Kwenye zipu Kuna kirungu usikamate utawaita wazungu
Eeh Heeh…
Babu mkuna nazi Aah Haah achutama kishinani
Na msuli wake upo wazi mambo yote Hadharani
Go! Go! Go! Go! Goal.
Mtoto anadaka Goli kipa Ronya mira)
Wabeja
Tena akikata haingii tisa sababu
Baby acha unachezaga
(Baikoko)
Unavyo baby
(Baikoko)
Unavyoinyonga aah
(Baikoko)
Eeh waonyeshe
(Baikoko)
Baby acha unachezaga
(Baikoko)
Unavyo baby
(Baikoko)
Unavyo iyo aah
(Baikoko)
Eeh waonyeshe
(Baikoko)

Asa komesha dengua
Dengua baby dengua
Ringa Dengua! Dengua
Deka Dengua! Dengua wakuone

Kanivua ndala miguu anataka nipite peku
Kunduchi juu anifikishe kwetu
Embu tamu Ladha ya kitumbua
Rojo ya Embe Kibada! Kibadah
Hodari kunengua miuno ya ushubwada! Shubwadah
Nyuma kalisasambua kafungasha midabwada! Bwaadah
Anavyo tafuna mua ka kibogoyo Dada!
Katoto kamelainika kwala
Kapo kama Ndizi Banana
Nitakapeleka kwa Mama! Mama Mama Dangote
Kama kuku twakimbizana! Zana
Kana ibuka Kana zama
Kamwili kana balaa na Lana! Lana Lana kazote.
Ebooh!
Mtoto anadaka Goli kipa Ronya mira)
Wabeja
Tena akikata haingii tisa sababu
Baby acha unachezaga
(Baikoko)
Unavyo baby
(Baikoko)
Unavyoinyonga aah
(Baikoko)
Eeh waonyeshe
(Baikoko)
Baby acha unachezaga
(Baikoko)
Unavyo baby
(Baikoko)
Unavyo iyo aah
(Baikoko)
Eeh waonyeshe
(Baikoko)
Asa komesha dengua! Dengua
Baby dengua! Denguagua
Ringa Dengua! Dengua
Deka Dengua! Dengua wakuone

Kama anaifata, Anaima Anainuka Uani Anaisusa
Kwakujishebedua, Anainama Anainuka Uani anaisusa
Kama Hataki mwaache
Kwa madoidoi

Оцените текст
( Пока оценок нет )

На данной странице вы найдете слова и текст песни Diamond Platnumz — Baikoko. Здесь можно прочитать, а также скачать текст песни и распечатать его.

Поделитесь с друзьями
text-pesen.ru