Текст песни ALIKIBA — Kadogo

image_pdfimage_print

Yoooh … 001 aaah aaah ah…
Iyo iyo iyo yeah…
Kadogo kanapenda keroro Keroro,
Keroro Kadogo kanapenda keroro Kembamba kadogo Kanapenda keroro
Nikamuuliza,
Anatoka 254 Mombasa kwa wanjanja janja Ananikosha roho She must be
There She would be there Wouh wo kadogo dogo Mnawakataa machali
Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (eeh baba) Mnawataka maboys
Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (eeh baba) Mnawakata machali
Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (eeh baba) Mnawataka maboys
Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (eeh baba) [CHORUS] Kadogo
Kanapenda keroro Keroro keroro Kadogo kanapenda keroro Kembamba
Kadogo Kanapenda keroro [VERSE 2] Akaja bongo aaah Akaja akaja bongo
Keroro Akitwika anayumba yumba keroro Naskia am in love sio kidogo
Anaweza love ananikosha Kwa vile,
Vile Anavyodance aaah Ananikosha She must be there She would be there
Wouwo kadogo dogo Mnawakataa machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia
Vako sio (eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako
Sio (eeh baba) Mnawakata machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako
Sio (eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio
(Eeh baba) [CHORUS] Kadogo kanapenda keroro Keroro keroro Kadogo
Kanapenda keroro Kembamba kadogo Kanapenda keroro Kadogo kadogo dogo
Kananimalizaaa Kananikosha rohoo rohooo Kadogo
Kadogo dogo Kananimalizaaa Nikosha rohoo Rohooo yangu weeeh

Оцените текст
( Пока оценок нет )

На данной странице вы найдете слова и текст песни ALIKIBA — Kadogo. Здесь можно прочитать, а также скачать текст песни и распечатать его.

Поделитесь с друзьями
text-pesen.ru