Текст песни ALIKIBA — Nakshi Nakshi Mrembo

image_pdfimage_print

Ohwaah…
Oooohoo…
Nooooowah…
Ohwa…
Mimi nachotaka ulimwengu mzima, Wajue nimezimika… eh
Na kama kufanikiwa taratibu, Skia mambo yatajipa.eh…
Na sina pathara na subira Mola atanipa.eh
Na kama akini akishanipa pia, Ndio maana niko hapa

()
(So ndio mchezo gani huo, Wa kunionyesha za mchumba hivyo
Wajua me unanirusha roho
Na we ukawa hivyo Baby know)×2

Hasira hasara tuyaskia wahenga wali shasema
Na nitakasirika dear kesho nitakunyima… eh

()
(So ndo mchezo gani huo, Wa kunionyesha za mchumba hivyo
Wajua me unanirusha roho
Na we ukawa hivyo baby know)×2

Nakshi mrembo,
Unawatosa watosa na vigogo
Nakuja kwangu kawapa visogo
Ukawaona hawana mpango
Na kusema baby ukiona nalia… ah, Baby kuniona nateseka
Na moyo wangu tena kutesa, Nami na relax tu kwa sasa

Ohwaah…(AliK… 4real mum)
Oooooho…(Ushanipata mum)
Nooooowah…
Nina we kuliko kote dunia nzima
Na kama unanipenda, Hakika mimi utanilinda
Nina we kuliko kote dunia nzima, Na kama ninakupenda, hakika wewe nitakulinda

Basi kwangu nakshi nakshimrembo
Nisicheze regge nicheze wimbo
Leo ma action na mavitendo

Оцените текст
( Пока оценок нет )

На данной странице вы найдете слова и текст песни ALIKIBA — Nakshi Nakshi Mrembo. Здесь можно прочитать, а также скачать текст песни и распечатать его.

Поделитесь с друзьями
text-pesen.ru